Matukio mbalimbali kwenye Ubalozi wa Tanzania mjini Roma - Oktoba 2019

  • Mheshimiwa balozi George Kahema Madafa akiweka saini kwenye kitabu cha wageni katika ofisi ya Jumuiya ya Watanzania waishio Napoli, Italia.
  • Mabalozi wa SADAC wakipiga picha ya pamoja na Mh balozi Madafa baada ya kikao kifupi juu ya maendeleo ya nchi.
  • Waambata wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia wakiongea na halaiki ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma.
  • Jumuiya ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma wakishiriki kwenye mkutano ulioandaliwa kwa ushirikiano na Ubalozi wao.
  • Watanzania waishio jijini Napoli, Italia wakishiriki kwenye mkutano na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo.