UBALOZI WA TANZANIA ROMA WAFANYA MKUTANO MKUU NA DIASPORA
Tarehe 6 Machi, 2022 Ubalozi wa Tanzania uliopo Roma, Italia ulifanya Mkutano Mkuu wa Watanzania wanaoishi maeneo mbalimbali nchini Italia (Diaspora). Mkutano huo ulifanyika chini ya uenyekiti wa Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo,… Read More