Kumbukumbu ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu J.K. Nyerere 1922-1999: Mwalimu afunika Roma!
Katika hotuba yake, Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa, alibainisha kwamba maisha, fikra na mawazo ya Mwl. Nyerere yamefumbatwa na uadilifu, bidii, usawa, mshikamano na uvumilivu usio na…
Read More





